Wednesday, March 28, 2018

Ajira Za Afisa Mtendaji 2018, Halmashauri Ya Wilaya Ya Chato

 Nafasi 18 za Kazi ya Mtendaji III Halmashuri ya Wilaya Chato

Kumb No. CDC/05/20/91

MAHSRTI YA JUMLAi. mwombaji lazima awe raia wa Tanzania na awe na umri usiozidi miaka 45
ii.waombaji waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa
iii. waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa hizo za kuingilia katika kada tofauti walizo nazo wapitishe barua zao kwa waajiri wao
iv. Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha , kutozingatia hili kutasababisha maombi yako kuwa batili
v. waombaji waambatanishe maelezo yao binafsi pamoja na anwani, namba za simu a kuaminika pamoja na majina ya wadhamini wa 3 wa kuaminika
vi. maombi yote yaambatanishwe na vyeti vya taaluma, maelezo nakala za vyeti vya kidato cha 4 na 6 kwa wale waliofika kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia siffa za kazi huska. viambatanisho hivyo vibanwe sawasawa kuondoa uwezekano wa kudondoka au kupotea pica moja paspoti size ya hivi karibun
vii. testiminials statement of results hazitakubaliwa
viii. waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimahakikiwa na kuidhinishwa na mamlka husika (TCU & NECTA)
IX. waombaji wa kazi ambao tayari ni waajiriwa wasiombe nafasi hizi kwa kuzingatia maelezo yalio katika waraka Na. CAC 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba 2010
x waombaji waliostaafishwa katika utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kwa kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi
xi. uwasilishaji wa taarifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria
xii. mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 04 April 2018
xiii. maombi yanaweza kuandikwa kwa lugha ya kiswahili au kingereza na yatumwe kwa kupitia posta ama moja kwa moja kupitia Ofisi ys Mkurugenzi Mtendaji kwa anuani ifuatayo

MKURUGENZI MTENDAJI (W),
HALMASHAURI YA WILAYA YA CHATO,
S.L.P 116,
GEITA.

MTENDAJI WA VIJIJI III NAFASI 18

KAZI NA MAJUKUMU

- afisa masuuli na mtendaji mkuu wa Serikali ya Kijiji
- Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao kuwa malinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji
- kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipnago ya maendeleo ya kijiji
- katibu wa mikutano yna kamati zote za halmashauri ya Kijiji
- Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nayaraka za kijiji
- kuandaa taaarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoo njaa, umaskini na na kuongeza uzalishaji mali
- kiongozi Mkuu wa Vitengo vya kitaalamu katika kijiji
- kupokea na kusikiiza na kutataua malalamiko na migogoro ya wnanachi
- kusimamia utungaji wa sheria ndogo za kijiji
- mwenyekiti wa kikao cha wataalamu waliopo Kijiji
- atawajibika kwa Mtendaji kata

SIFA ZA MWOMBAJI
- kuajiriwa mwenye elimu ya kidato cha 4 na 6 aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo
Utawala , Sheria, Elimu ya jamii usimamizi wa fedha maendeleo ya jamii na sayansi ya jamii kutoka chuo cha Serikali za mitaa Homboro Dodoma au chochote kinacho tamblika na serikali

MSHAHARA
kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya serikali yaani TGB

Artikel Terkait